Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Melania Trump Kupewa Mabilioni ya Pesa Kufanya Interview ya Kwanza Toka Ametoka Ikulu


Melania Trump na mumewe Donald Trump jana jioni waliondoka rasmi Ikulu ya Marekani na kuelekea kwenye makazi yao mjini Florida. Sasa Melania anaweza kukunja kibindoni kitita cha TSh. Bilioni 2.3 kama atakubali ofa ya kufanya mahojiano maalum baada tu ya kutoka ikulu.


Mwanasheria maarufu nchini Marekani Rebecca Zung ameweka mezani kitita cha ($1 million) kwa ajili ya kukaa na Melania Trump kwenye Podcast yake iitwayo 'Negotiate Your Best Life' ofa ambayo itamtaka Melania kukaa kwenye mahojiano hayo kwa Saa moja pekee na kujadili masuala mbali mbali ya maisha.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments