ALIYEKUWA mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo na mshauri wa chama hicho, Bernard Membe, ametangaza rasmi jana Desemba Mosi kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya chama hicho.
Akiwa nyumbani kwake kijijini Rondo Chiponda, Wilaya ya Mtama Mkoa wa Lindi, ameeleza kuwa hajafanya uamuzi huo kwa shinikizo lolote na kwamba kwa sasa atakuwa mshauri wa masuala mbalimbali yanayoihusu nchi ya Tanzania na kupigania demokrasia ya kweli.
Benadi Kameliusi Membe. Uamuzi wa Kubwaga Manyanga ACT ni sahihi na ni wa Busara.
ReplyDeleteWalitaka kukutumia na wakakufanya Zwa zwa. Ila kwa sasa umezinduka, Hongera kwa Mama Membe.
Kama alivyo kushauri,rudi uombe msamaha.Kijani ndio nyumbani
na Mwenyekiti wake na Mzee Mangula na Dkt Bashiru Ali ni Wachamungu na ni Waungwana. Haya yote fanya kimya kimya
na mdomo wako funga mwanangu.
Shiriki kuijenga nchi yako. Za serikali zirudishe na huko unapokwenda kila mieezi mitatu kuziangalia funga akaunti
na mwenzako alieeka zake Ujelumani za NSSF Kigamboni na GGM
Zinamtokea puani Mbongo anashughulikia.
Nizo na Nasaha zetu kwako. Wakati wa wewe siasa umeshapita.

Itauuwa jambo jema Ukimpongeza Maalim kwa Ushirikiano Mzuri
na Fatuma kwa kukupa Moyo wa ujasiri ndani ya Mchakato na Wananchi waliokupa 0.5 % kukuona ungewapa KAZI na BATA .