1/28/2021

Meya manispaa ya Moshi awataka waliovaa barakoa kuzivua

Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi,  Juma Raibu Juma amewataka wajumbe waliovaa barakoa katika kikao cha baraza la madiwani kuzivua kwa madai kuwa manispaa hiyo ipo salama.


Ametoa agizo hilo leo Alhamisi Januari 28, 2021 wakati wa ufunguzi wa kikao cha bajeti cha baraza hilo baada ya kuwataka waliovaa barakoa kusimama na kisha kuwataka wavue.


Join Our Telegram Group for Job Updates CLICK HERE


"Kabla ya kufungua kikao chetu niwaombe wote waliovaa barakoa wasimame. Vueni barakoa zenu,  manispaa yetu ipo salama, mimi mstahiki meya sijavaa barakoa wewe uliyevaa ina maana unajipenda zaidi,” alihoji.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger