Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mfahamu Hacker Number Moja DUNIA, Unaambiwa Kadukua Bank 217 Marekani na Kuiba Mamilioni, Amekamatwa

 


#UNAAMBIWA: Raia wa Algeria Hamza Bendelladj maarufu Mdukuzi mwenye tabasamu, alidukua Bank 217 Marekani na Ulaya na kutengeneza USD Milion 280 kisha alizitumia fedha hizo kutoa misaada kwa Wapalestina.


Amezaliwa mwaka 1988 na alitafutwa kwa miaka mitano, akiwa kwenye Top 10 ya Wadukuzi (hackers) waliosakwa na Interpol na FBI, kirusi alichokutumia kilishambulia kompyuta zaidi ya Milioni 60 Duniani (zaidi Marekani), alidukua pia webiste ya Serikali ya Israel.


Alikamatwa na yupo Gerezani Marekani baada ya Mahakama kumuhukumu April 20, 2016 kwenda Jela miaka 15, mwenzake ambaye alikuwa anashirikiana nae Raia wa Urusi Panin(27) amehukumiwa miaka 9.

 

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments