5/11/2022

Mfahamu Mwanasheria Aliyeshinda Kesi Nyingi za Mauaji Kuliko Wote Duniani

 


Sir Lionel Luckhoo amezaliwa Machi 1914 New Amsterdam na alifariki Desemba 12, 1997 ambapo alikuwa Mwanasheria kuanzia mwaka 1940 hadi 1985


SHINDA ZAWADI YA SIMU KWA KUDOWNLOAD APPP YA UDAKU SPECIAL HAPA


Mwaka 1990 aliingia rasmi kwenye kitabu cha rekodi za Dunia cha #Guinness kama Mwanasheria aliyeshinda kesi nyingi za mauaji ambapo alishinda kesi 245


Ni kesi chache wateja wake walishindwa ambazo pia alishinda kwenye rufaa


 

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

1 comment:

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger