Mhudumu wa Ndege Mwenye UMRI Mkubwa zaidi Duniani (Picha)

  


Bette Nash ni muhudumu wa ndege mwenye umri mkubwa zaidi ulimwenguni, alianza kufanya kazi hiyo mwaka 1957 na shirika la Eastern Airlines ambayo sasa ni sehemu ya American Airlines.


Bette Nash ana miaka 83 sasa na amefanya kazi kwenye shirika hilo kwa miaka 61, kikubwa anasema, hana mpango wa kustaafu hivi karibuni.
 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments