Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mwanamuziki Paul wa P. Square Akutwa na Corona "Mungu Tusaidie Kuna Watu Bado Hawaamini"

 


Moja ya stori ya kuifahamu leo ni kwamba Staa wa muziki kutokea Nigeria ambae alikuwa akiunda kundi la P. Square (Paul Okoye) amepima na kukutwa kuwa na virusi vya corona.


Paul amethibitisha kwenye ukurasa wake Instagram Jumanne January 5,2020 kwa siku 10 sasa amekuwa akipambana na ugonjwa wa corona.


“Itakuwa vizuri kuwa makini huko nje ukipenda niamini, ukiwa hutaki usiniamani subiria na kujionea mwenyewe MUNGU tusaidie” Paul


Ameandika Haya:


ATTENTION!!! F*ck it !!! Covid is REAL !!! I know as typical Nigerian or African is very hard to believe 🀒🀒 some will say “experience is the best teacher 🚢🏿‍♂️🚢🏿‍♂️🚢🏿‍♂️ oh well , the experience and the teacher has visited me and they’ve been dealing with me for more than 10days now 🀒 sh*t is not funny ..... worst sickness ever!!! ...... y’all better be careful out there πŸ™❤️ if you like believe me , if you like don’t believe me 🀷🏾‍♂️ you can as well wait for your own experience by playing ignorance 🚢🏿‍♂️Goodluck 🚢🏿‍♂️God help us all πŸ™

4h


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments