Mwanaume Amdai Mkewe Figo yake Aliyompa Baada ya Kuachana

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPARaia wa Marekani Richard Batista alitoa figo moja June 18, 2001 na kumpa Mkewe Dawnell Batista baada ya figo mbili za Mke huyo kufeli, baadaye mwaka 2009 baada ya Mwanamke huyo kudai talaka ili waachane, Richard akafungua kesi Mahakamani akidai arudishwe figo yake au alipwe USD Mil 1.5.


Mahakama ilitoa maamuzi ya kwamba figo haiwezi kurudi (sio sehemu ya mali za kugawana Watu wakiachana) na Mwanamke hawezi kulipa pesa kwakuwa kuchangia figo ni kama zawadi ambayo thamani yake hakuna Pesa ya kuinunua na pia kudai figo ni sawa na kutaka kumuua anayedaiwa.


Unapenda Simulizi za Kusisimua?

Kuna Simulizi ya NDOA YANGU na kuna INATOSHA, Zitakukosha sanaa.
Bofya HAPA kufurahia sehemu ya 1 bure ndani ya group la telegram.


 

 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad