Nai amkataa Moni, nipo 'single' sihitaji mwanaumeMwimbaji mrembo Nai amesema hata iweje hawezi kufanya collabo na mpenzi wake wa zamani rapa Moni Centrozone.


Akisisitiza hilo Nai amesema kitendo cha yeye kuonekana akiimba moja ya ngoma za Moni hakimanishi wana ukaribu.


Kwa upande mwingine mrembo huyo ameweka wazi kwasasa yupo single ila hataki wanaume anachofanya sasa ni kutafuta pesa.


Tazama Video hapo chini


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments