Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code
Nchi ya Uingereza, imeanza ukurasa mpya wa kujitegemea kutoka umoja wa Ulaya, baada ya usiku wa kuamkia jana kukamilisha rasmi safari ya kujitoa kwenye umoja huo.

Uingereza, iliacha kufuata sheria za umoja wa Ulaya kuanzia saa sita usiku kuamkia Ijumaa, ambapo sasa itakuwa na sheria zake za kusafiri, biashara, uhamiaji na usalama.

Waziri mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, amesema "uhuru uko mikononi mwao" na kuwa na uwezo wa "kufanya vitu tofauti na kwa namna bora", akisema mchakato wa muda mrefu wa kujitoa umekamilika.

Licha ya hatua hii, wanasiasa na watu waliopinga nchi hiyo kujitoa umoja wa Ulaya, wanasema hali itakuwa mbaya zaidi.

Waziri wa kwanza wa Uscotishi, Nicola Sturgeon, ambaye mara zote amekuwa akitaka nchi yake kubaki kwenye umoja wa Ulaya, amesema kupitia ukurasa wake wa kijamii wa twitter "Scotland itarejea karibuni kwenye umoja wa Ulaya, kuweni na imani".

Mawaziri wa Uingereza, wameonya kuhusu uwezekano wa kushuhudiwa sintofahamu katika baadhi ya mambo, wakati huu taifa hilo likitekeleza sheria zake tofauti na zile za umoja wa Ulaya.
 

-

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

3 Comments

 1. Maskini Uingeleza..!!! Imesahau kuwa Dunia imekuwa ni Kijiji kidogo na Umoja ni nguvu.

  Itachukua zaidi ya Miaka hamsini kwa kizazi kijacho kujua na kurekebisha hili kosa la kizazi hiki @ committed 2021.
  stay tuned @ 2081 as the economies will tumble as of today.

  That time will not be Covid-

  Choice was always yours . wish you wise win decisions.

  LONG LIVE HER MAJESTY

  ReplyDelete
 2. Maskini Uingereza..!!! Imesahau kuwa Dunia imekuwa ni Kijiji kidogo na Umoja ni nguvu.

  Itachukua zaidi ya Miaka hamsini kwa kizazi kijacho kujua na kurekebisha hili kosa la kizazi hiki @ committed 2021.
  stay tuned @ 2081 as the economies will tumble as of today.

  That time will not be Covid-

  Choice was always yours . wish you wise win decisions.

  LONG LIVE HER MAJESTY

  ReplyDelete
 3. If, you are asked, put this into multiple choice ,what will yours be..?? Mine will definitely be.

  a) Political blunder
  b) Political mistake
  c) Political Choice
  d) NON OF THE ABOVE

  What will be your best pick..? time start now ..999666 D

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)