Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Ni Rasmi Sasa Tumepata The Kadarshian Family Tanzania Version

Familia ya Kadarshian haiishi vituko , mara baba ameamua kuvaa magauni. Sasa ni wazi tuna version yetu Tanzania Kwenye hii Familia ya Dangote aka Diamond Platnumz


Pengine kwa wengine inaweza kuonekana familia ya ajabu au familia iliyokosa maadili mema ya kitanzania.


Kwa lugha rahisi ni typical familia ya kiswahili.


Lakini kwa watu walio kwenye industry ya burudani haswa media wanajua ukubwa wa hii familia kwa sasa. Content yao ni mali kama Almasi ilivyo.


Watu wanafatilia kwa ukaribu kila jipya linaloendelea kwenye familia ya Dangote na wanapenda.


Na kwa sababu wanapenda basi wanapewa kile roho inataka.

Download App ya Udaku Special HAPA Kusoma Hizi Habari Kupitia Simu yako Kirahisi


Mwisho wa siku kuna wachache wanaopata kipato kwa drama za hii family.


Tuendelee kutazama episode baada ya episode. Tuendelee kufurahia ukubwa wa Diamond.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments