Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Nicki Minaj Matatani Kwa Kiba Wimbo, Kutoa Mabilioni ya Pesa...


Nicki Minaj ameripotiwa kushtakiwa na rapa aitwaye Brinx Billions kwa tuhuma za kuiba wimbo "Rich Sex" aliomshirikisha Lil Wayne ambao ulitoka mwaka 2018 na kupatikana kwenye album yake, QUEEN.

Kutokana na ukaribu wao, Brinx anaamini Nicki Minaj aliiba wimbo wake kwa sababu kuna siku walikaa pamoja na kumsikilizisha na kisha kumwambia kwamba itakuwa Hit song. Baada ya kutoka wimbo huo, hakukuwa na utambulisho wowote kumuhusu Brinx kama mmiliki, mtunzi na mtayarishaji wa wimbo huo ukiacha kipande kidogo cha intro na outro alichowekwa.

Kwenye shtaka hilo ambalo Brinx amewashtaki Nicki Minaj, Universal Music Group, Young Money na Cash Money, amedai fidia ya ($200m) sawa na TSh. Bilioni 463.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments