Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

NWIF walitoa milioni 640 zimeletwa milioni 140 na mradi umefikia asilimia 30 tu zingine hazijaletwa sifahamu zimekwamia wapi – Rais Magufuli”Kuna kero ya kutokukamilika kwa mradi wa mama na mtoto katika Zahanati ya Buhembe, palitolewa fedha Shilingi milioni 229 na UNDP, jengo halijakamilika na fedha zimeisha, Mkurugenzi jipange vizuri hilo jengo likamilike.” Rais Magufuli akifungua majengo ya shule ya sekondari ya Ihungo Kagera

Virusi vya Corona: Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kutuma ndege Madagascar kuchukua 'dawa ya corona' - BBC News Swahili

”Kuna ukosefu wa soko la kuuzia dagaa Halmashauri walikuwa wanatumia kwenye bandari, wakapewa eneo hilo eneo halijaandaliwa kwa wananchi kwaajili ya kuanza kuuza dagaa katika eneo lao.”

”Kuna kero ya mradi wa maji Bwela, umesimama, Bodi ya mfuko wa maji taifa NWAF walitoa milioni 640 zimeletwa milioni 140 na mradi umefikia asilimia 30 tu zingine hazijaletwa sifahamu zimekwamia wapi, waliozikwamisha wazilete na mradi wa maji wa Ibwela ukamilike” Rais Magufuli akifungua majengo ya shule ya sekondari ya Ihungo Kagera


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments