AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kocha Ole Gunnar Solskjaer akongea baada ya game ya Manchester United dhidi ya Liverpool ametumia mfano wa Mlima Kilimanjaro kuhamasisha wachezaji wa Manchester United.
“Imefanyika kazi kubwa na uvumilivu kufika hapa tulipo. Lakini ni kama kupanda Mlima Kilimanjaro au Everest hadi kileleni kisha ukakaa na kupumzika, unajua ni nini kitatokea?-utaganda na kufa”– Ole Gunnar Solskjaer, Kocha wa Manchester United
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK