1/23/2021

Orodha ya Klabu 20 Bora Afrika, Tanzania Imo
KLABU Bora Afrika kwa sasa,viwango vinatokana na matokeo ya timu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika kuanzia 2017 hadi 2021.

 

Kwa maana hiyo kuna uwezekano mkubwa pointi zinaweza kupanda ama kushuka msimu huu mazima ikiwa timu itaboronga pointi zitashuka ama itafanya vizuri hapo pointi zitaongezeka.

 

Rekodi zipo namna hii kwa zile zilizo ndani ya 20 bora, Tanzania ipo pia:-

1. Al Ahly SC, Misri ina pointi 53

2. Esperance de Tunis, Tunisia ina pointi 50

3. Wydad CA, Morocco, ina pointi 48.

4. Zamalek SC,Misri ina pointi 42.

5. TP Mazembe, Congo pointi 40.

6. RS Berkane, Morroco,pointi 38.5

7. Mamelodi Sundowns, Afrika Kusini, pointi 36.

8. Horoya AC, Guinea, pointi 33.

9. Etoile du Sahel,Tunisia, pointi 31.

10. Raja AC, Morocco,pointi 29.

11. Al Hilal, Sudan, pointi 21.

12. AS Vita Club, Congo, pointi 21

13. Hasannia Agadir,Morroco, pointi 18.

14. Pyramids FC,Misri,pointi 16.

15. 1° de Agosto,Angola, pointi 16.

16. Petro de Lianda, Angola, pointi 14.5.

17. Simba SC, Tanzania ina pointi 14

18. Al Masry, Misri pointi 14.

18. Enyimba FC,Nigeria 14.

20. USM Algiers, Algeria pointi 12.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger