1/25/2021

Rais Magufuli: Tutawaruhusu bila masharti wafungwa 1,789 wa Ethiopia“Nimemueleza Rais Sahle kwamba tuna Wafungwa 1,789 kutoka Ethiopia wale wanaoingia Nchini pasipo halali wamehukumiwa kwa Sheria za Nchi, tumezungumza nae namna ya kupanga mbinu za kuwaruhusu warudi kwao, na kwa kuzingatia Undugu tunawaruhusu bila masharti”

“Rais Sahle amekubali wataenda kujadili ili Wafungwa 1,789 wa Ethiopia ambao wamehukumiwa Tanzania warudi kwao wakasaidie kujenga uchumi, wana Ndege nimemshauri wanaweza kuleta Ndege ikawachukua, na hatuna masharti hata waliofungwa leo tutawaachia”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger