Rosa Ree Hataki Mazoea Na Wanawake!
RAPA Rasary Robert ‘Rosa Ree’ amefunguka kuwa kitu ambacho kitamfanya agombane na mpenzi wake ni kuwa na mazoea na wanawake.

 

Akizungumza na MIKITO NUSUNUSU, Rosa Ree amesema hakuna mwanamke ambaye anapenda mpenzi wake awe karibu na wanawake.

 

“Sipendi wala sitaki kuona mpenzi wangu akiwa karibu na wanawake labda iwe kikazi tu na si vinginevyo kwa sababu wanawake huna wana tabia chafu ya kutaka faida kwa wanaume za watu.

 

“Kwa hiyo mimi sipendi mwanaume wangu awe karibu na wanawake kabisa tutagombana,” alisema Rosa Ree.
That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments