Rose Ndauka Adaiwa Mapacha Wawili na Mumewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

  


Mume wa msanii wa filamu Rose Ndauka, Haffiyy Mkongwa amesema bado anamdai mkewe huyo watoto wengine wawili tena atafurahi kama ikiwezekana wawe mapacha ili waweze kumaliza kwa haraka.

Mumewe huyo amesema kwa sasa tayari wamepata mtoto mmoja na Rose Ndauka hivyo anasubiria mpaka atakapofikisha miaka miwili ndiyo wataongeza wengine.


"Tunashauriwa na Serikali na vyombo vingine mbalimbali vya kiafya kwamba mtoto afikishe angalau miaka miwili ndiyo muweze kupata mwingine ila binafsi nitangoja mpaka akue kabisa na kujitambua, nataka watoto wengine wawili na ikiwezekana wawe mapacha ili tuweze kumaliza kwa haraka" amesema Haffiyy Mkongwa


Haffiyy Mkongwa na Rose Ndauka wamefahamiana kipindi cha miaka mitano iliyopita na wamefunga ndoa mwaka 2020 na tayari wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume aitwaye Prince Haleem.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad