1/19/2021

Shetta: Diamond alinisaidia sana collabo zangu za kimataifa, nilikuwa nakutana na wasanii locationMsanii wa muziki wa Bongo Fleva Shetta ameongea kwa mara ya kwanza kuwa bila Diamond Platnumz huenda collabo yake na msanii kutoka Nigeria Kcee isingekuwepo kabisa.

Shetta ameongeza kuwa yeye alikuwa hafahamiani kabisa na Kcee na Diamond ndio alimtumia ngoma ya Shetta Sikorobo na kumuomba afanye collabo na Shetta lakini pia yeye kama Shetta hakuwahi kukutana na Kcee mara ya kwanza kukutana naye ni kwenye location tu ila vyote alifanya Diamond.

“Ukaribu wangu na Diamond huenda ndio ulinifikisha hapo nilipofika siko karibu naye kwa sababu za kibiashara”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger