Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Simba yapangwa Kundi la kifo Champions League, Wapo Al Ahly, Al- Merrikh, Namungo angalauMabingwa wa nchi #simbasc wamepangwa kundi A katika Michuano ya Klabu Bingwa Afrika


Kundi A

Simba SC Tanzania

Al – Merrikh Sudan

AS Vita Club DRC

Al Ahly SC MisriYapi maoni yako baada ya kuona group hili ambalo lina wawakilishi wa Tanzania #simbasc


Kombe la Shirikisho Afrika.. Primero De Agosto (Angola) vs Namungo FC (Tanzania).  Mechi kuchezwa kati ya February 12/13.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAf)

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments