Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Simba yaweka rekodi ya kufika fainal nyingi katika Kombe la MapinduziHatua ya nusu Fainali ya Mashindano ya Kombe la Mapinduzi zitachezwa

leo Jumatatu katika Uwanja wa Amaan kati ya Azam FC vs Yanga Sc


Saa 10:15 jioni na Simba Sc vs Namungo FC saa 2:15 Usiku .


Hayo ni Mashindano ya 15 tangu yalipoanzishwa rasmi mwaka 2007 ambapo


 Simba Sc na Mtibwa Sugar zinaongoza kucheza fainali nyingi zikicheza


mara 6 kila timu.


Simba ambayo imecheza fainali 6, tatu ikitwaa Ubingwa na 3 ikipoteza


 (2008,2011,2015,2017,2019 na 2020).


Mtibwa Sugar nayo imecheza fainali nyingi (6) za Mashindano hayo ambapo


 wameshinda 2 na kupoteza 4 (2007, 2008, 2010, 2015, 2016 na 2020).


Azam ikishika nafasi ya tatu kucheza fainali nyingi za Mashindano hayo


ambapo imecheza fainali 5 na zote imetwaa Ubingwa (2012, 2013, 2017, 2018 na 2019.


Yanga wamecheza fainali 2 wakishinda 1 na kupoteza 1 (2007 na 2011)


sawa sawa na URA ya Uganda ikicheza fainali 2 wakishinda 1 na wakipoteza 1 (2016 na 2018).


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments