Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Sound City watoa orodha ya nyimbo 50 bora kwa miaka 10, Diamond aingiza nyimbo mbili Alikiba ndaniMoja ya majarida makubwa katika bara la Afrika na duniani kote Soundy City ambalo makao makuu yake yapo Marekani ingawa lina matawi barani Afrika limetoa orodha ya ngoma 50 za wasanii tofauto zilizofanya vizuri kwa muongo mmoja yaani ndani ya miaka 10.Katika miaka hiyo kumi Sondy City wametaja nyimbo za wasanii tofauti tofauti na wengi wakitokea nchini Nigeria taifa ambalo ndio ofisi za Soundy City kwa Afrika zipo.

Katika wasanii waliofanikiwa kuingia katika nyimbo 10 za mwanzo ni

Wizkid n angoma yake ya Holla at your body, Davido na Dami Duro, Kiss Daniel na Woju, Ycee na Jagaban, Tekno na Pana, Mr Eazi na Leg Over, Olamide na First of all, mayorkum na Mama, huku Timaya akishika namba 10 na Ukwu.Baada ya hapo orodha nyingine ni hii hapa ambapo Diamond ameingiza ngoma mbili yaani nambari 44 IMANA aliyomshirikisha Faly Ipupa lakini pia nafasi ya 35 na ngoma ya Number one remix aliyomshirikisha Davido, Diamond amekuja kuonekana kwenye nafasi ya 46 ikishikiliwa na Sauti Sol ngoma ya Unconditional Bae waliyomshirikisha Alikiba,

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments