Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Star wa Nyimbo ya Jerusalemu Aalikwa Kutumbuiza Nyumbani Kwa Mwigizaji Vib Diesel


Mwimbaji wa Afrika Kusini Master KG amealikwa kutumbuiza katika nyumba ya mwigizaji nyota wa Marekani Vin Diesel. Kwenye ukurasa wa instagram wa mkali huyo wa 'Jerusalema' ameandika;"Siku ya 4. Shukrani za dhati kwa Vin Diesel na familia yake kwa kunialika kwenye nyumba yao kwa ajili ya kuwaburudisha na muziki wangu. Najifunza mengi toka kwao. Na inapendeza sana kuona hamasa na upendo walionao kwangu na taifa langu."

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments