Tanzia: Mama Anna Bayi Afariki Dunia

 


Mwenyekiti wa zamani Chama cha Netball Tanzania (CHANETA) na mke wa aliyekuwa nguli wa riadha Tanzania, Filbert Bayi, mama Anna Bayi ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa shule za Filbert Bayi amefariki dunia jana jioni Januari 6, 2021, katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam alikokuwa akitibiwa.


Taarifa zaidi tutaendelea kukujuza. RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA…….

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments