Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Tanzia: Naibu Kamishna Magereza Afariki Dunia
NAIBU  Kamishna wa Magereza, Julius Sang’udi, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma leo Jumatano, Januari 20, 2021.

 

Taarifa ya kifo cha Sang’udi imetolewa na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Meja Jenerali Suleiman Mzee.

 

Sang’udi  aliwahi pia kuwa Mkuu wa Magereza Mkoa wa Mbeya.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments