Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Uturuki yatangaza rasmi tarehe ya chanjoRais Recep Tayyip Erdoğan amesema kuwa chanjo dhidi ya corona itaanza mwishoni mwa juma.
Rais Erdoğan alitoa hilo matamko baada ya mkutano wa baraza la mawaziri.

Akikumbushia kwamba hatua iliyofikiwa katika vita dhidi ya corona, Erdoğan aliangazia hali ya kupungua kwa idadi ya vifo na kesi za maambukizi.

ERdoğan kwa mara nyingine amesisitiza suala la usafi wa kila mtu kama njia ya kupambana na virusi.

Uturuki iliagiza chanjo dozi milioni 3 kutoka China ambazo zimemaliza utaratibu wa upimaji na zitaanza kutolewa kwa wananchi wake hivi karibuni.

"Idadi ya kesi za maambukizi ikishuka, na sisi tutalegeza sheria kama tulivyofanya hapo awali." alisema Erdoğan.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments