VIDEO: Bwege amshukia Zitto Kabwe ''alipotoka sio kauli ya chama''

 Aliyekua Mbunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF na baadae kuhamia ACT Wazalendo, Seleman Bungala 'Bwege' amesema Zitto Kabwe alipotoka na kauli aliyoitoa haikua kauli ya chama.

 TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

  1. Sasa nani BWEGE.??

    BWEGE kamuona mwenzake, BWEGE KULLIKO..!!!

    Si nilisema, toka Kitila kuondoka, imebaki Flush mfukoni.
    Hamna kitu....!!!

    ReplyDelete