VIDEO: Mtandao Haramu wa Kuwafanya Walemavu Kitega Uchumi Kwa Njia ya Omba Omba Wavumbuliwa

 


Mtandao haramu wa kuwanyanyasa walemavu na kuwafanya kitega uchumi cha watu fulani ambao sio walemavu wavumbuliwa.


Mtandao huo ambao husimamiwa na mtu mmoja huwatumia walemavu mbalimbali kwenda kuomba mitaani na kisha fedha hizo kukabidhiwa yeyeHABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments