Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wallace Karia Apitishwa na FIFA
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia amepitishwa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Baraza la FIFA kwa nchi za Afrika zinazozungumza lugha ya Kiingereza. Uchaguzi unatarakia kufanyika mwezi Machi 2021 nchini Morocco.  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments