Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kanye West ameripotiwa kumzawadia Kim Kardashian magari 5 mapya aina ya Mercedes Maybach ya mwaka 202


Kanye West ameripotiwa kumzawadia Kim Kardashian magari 5 mapya aina ya Mercedes Maybach ya mwaka 2021, asubuhi ya Sikukuu ya Krismasi mwezi uliopita.

Kwa mujibu wa TMZ, licha ya sakata la talaka ambalo linaendelea kwenye ndoa yao, Kanye alimpatia Kim zawadi hizo ambapo inaelezwa gari moja lina thamani ya ($200,000) sawa na takribani TSh. 463M. Hivyo kwa magari 5 ni kama ($1M) ambazo ni sawa na TSh. Bilioni 2.3

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments