Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wanajeshi wa Uganda waripotiwa kuvamia makazi ya mgombea wa urais Bobi Wine


Mgombea wa Urais nchini Uganda Robert Kyagulanyi amelazimika kukatiza mahojiano yake na radio baada ya wanajeshi kuvamia nyuma yake mjini Kampala.
Vyombo vya habari nchini Uganda vinaripoti kuwaleo asubuhi wanajeshi waliizingira nyumba yake , na kuwakamata walinzi wake wote na mtu yeyote waliyempata katika eneo la makazi ya mwanasiasa huyo wa upinzani

Hata hivyo hakuna sababu iliyotolewa juu ya uvamizi huo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments