Wananchi na Watumishi wa UMMA Kuchapwa Viboko Hadharani ni Udhalilishaji..Mdau Afunguka

 


Wadau mbalimbali ndani ya JamiiForums wanasema imeshakuwa kama desturi kila wakati kuripotiwa tukio la Mwananchi au Mtumishi wa Umma (hasa Walimu) kuchapwa viboko ama kunaswa vibao na Watendaji wa Serikali


Wanasema ni #Haki na wajibu kwa wakosefu kuadhibiwa, lakini ni lazima iwe kwa mujibu wa #Sheria. Kuwachapa Watu wazima viboko hadharani hivyo ni viashiria vya utumwa mamboleo


Inaelezwa vitendo hivi vinajenga chuki na kuamsha hasira za Wananchi, jambo ambalo linaweza kupelekea baadhi ya watu kupanga kulipiza kisasi endapo watakuja kufanyiwa udhalilishaji huu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments