Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Wasanii 10 waliotazamwa zaidi Spotify muda wote, Drake aongoza dunianiMoja ya Platform ya kuuzia nyimbo duniani ingawa kwa upande wa Tanznaia bado haijapata nafsi sana ya Spotify imetoa orodha ya wasanii 10 wanaoongoza kwa muda wote kutazamwa zaidi kupitia mtandao huo.Katika orodha hiyo msanii mwenye asili ya Cnada anayeishi nchini Marekani Drake ndio msanii anayeongoza kutazamwa zaidi duniani.

Drake ametazamwa na watazamaji bilioni 49.7

Baada ya Drake hao ndio wasanii wengine tisa wanaofuata.@champagnepapi
@teddysphotos
@justinbieber
@jbalvin
@postmalone
Sanbenito
@eminem
@arianagrande
@theweeknd
Rihanna

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments