1/26/2021

Wastara Juma "Mpaka Sasa Sijaweza Mpata Mpenzi Mwenye Level za Marehemu Sajuki"


Msanii wa filamu za Bongo Movie Wastara Juma au Maarufu Wastara amefunguka  mambo mazito kuhusu kifo cha alikuwa mume wake marehemu Sajuki na ndo zake kuvunjika.


Aidha ametolea ufafanuzi wa kutumia jina la Juma baadhi ya watu kwenye maitandao kuhoji kwa nini anaendelea kutumia jina hilo la marehemu.


“Juma ni jina la baba yangu  Juma Issa, mzazi  na mume wangu wa kwanza jina lake anaitwa Juma hata na bahati nzuri pia Sajuki nae ni Juma Kilowoko.


Akizungumzia kuhusu afya yake hasa tatizo la mgongo amesema kwa sasa  anaendelea vizuri  na matibabu nchini Nairobi nchini Kenya na huenda kila baada ya mwaka anaenda  kufanya ‘cheak up’.


Wastara pia amefunguka kuwa tangu Sajuki amefariki bado hajapata mtu mwingine aliyefikia level za Sajuki licha ya kuingia kwenye Mahusiano na wanaume kadhaa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger