Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Watu wasiopungua 43 wafariki baada ya boti kuzama Bahari ya Mediterania

 


Watu wasiopungua 43 wameripotiwa kufariki kutokana na kuzama kwa boti iliyokuwa ikisafirisha wahamiaji kutoka pwani ya Libya katika Bahari ya Mediterania.


Umoja wa Mataifa uliripoti kuwa boti hiyo iliyokuwa imebeba wahamiaji haramu ilizama katika pwani ya Libya, ambapo watu wasiopungua 43 walifariki na wengine 10 waliokolewa.


Libya ni moja ya maeneo yanayotumiwa mara kwa mara na Waafrika ambao wanataka kwenda Ulaya kinyume cha sheria.


 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments