Wema Sepetu Akana Kuwa Hajawahi Kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi na Mfanyabiashara Fred Vunjabei "Nipumzisheni na Scandal"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii maarufu wa maigizo kutoka Bongo Movie, na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu (Maadam), amekana kuwa hajawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mfanya biashara maarufu wa nguo Fred vunjabei,


Wema amekana taarifa hiyo kupitia Instagram yake, baada ya mkaka maarufu kutoka WCB juma lokole kupost taarifa hiyo kutoka gazeti 1 lililoweka habari ya mastar wa kike waliopitiwa kimapenzi na mfanya biashara huyo,


Please jamani mumpunzishe na scandal kipenzi chetu huyu, nae huwa anaumia kuona ana andamwa hivi na pengine hausiki.



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad