Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Whats App Imesogeza Muda wa Kufuta Akaunti Ambazo Hazitakubali Sera Mpya ya Faragha

 


Januari 15, WhatsApp imetoa tamko la kusogeza muda huo kutoka Februari 8 hadi Mei 15 ili watu waweze kueleweshwa zaidi kuhusu Sera mpya ya Faragha ya WhatsApp


WhatsApp imesema kuwa, Sera yao haimaanishi kuwa watasoma ujumbe ambao wateja watatumiana kwa kuwa meseji zimefungwa kwa 'end to end encryption'


Suala la kufuta akaunti kwa kutokubali masharti lilikuwa gumzo na kusababisha mitandao inayofanya kazi sawa na WhatsApp kupata wateja wengi ndani ya siku chache Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments