Album ya Rayvanny Yafanya Maajabu, Yatoka na Kushika Number Moja


 Album ya @rayvanny 'SOUND FROM AFRICA ' inaendelea kufanya maajabu katika mitandao mbalimbali ya kuuza muziki Duniani .


Mpaka hivi sasa Album hiyo inashika Namba 1 kwenye mtandao wa @itunes nchini Oman 🇴🇲!!


Sound From Africa ni Album ya Kwanza kwa CHUI @rayvanny toka aanze Safari yake ya Muziki, ni inaonesha kuwa Mashabiki zake walikua wanaisubiri kwa hamu Album hiyo Kutokana na mapokezi yake .

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad