Ticker

6/recent/ticker-posts
.

ALIKIBA apiga KAMBI Nigeria kwa wiki mbili, Afunguka ALBUM yake kukamilika kwa kiasi kikubwa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Nyota wa muziki nchini, msanii Ali Saleh maarufu #KingKiba, @officialalikiba, ambaye anafanya vizuri kwa sasa na ngoma yake "Infidèle" ambayo ndani ameimba baadhi ya mashairi kwa lugha ya kifaransa, ameweka kambi nchini #Nigeria mapema wiki hii ambapo atakaa kwa muda wa wiki mbili. Ameeleza.


"Lagos for 2 weeks, Album almost done". - Alitweet #AliKiba kupitia ukurasa wake wa Twitter.


Album hiyo mpya ya #AliKiba inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake, mpaka sasa haijafahamika itaitwaje, ila aliweka wazi nyota huyo kuwa itatoka kabla ya mwezi sita.


Post a Comment

0 Comments