Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Amuua Mwanamke Aliyemkuta Akinywa Pombe na Mumewe
DAYANE RAFEELLE de SILVA ROGRIGUES (31) anashikiliwa na polisi  huko Caera, Brazil, kwa kumwua mwanamke  mmoja aitwaye Djaiane Batista Barros (26) kwa kumpiga risasi wakati akinywa pombe baa na mumewe.

 Rodrigues alimpiga risasi mwanamke huyo kichwani na kumwua ambapo pia alimjeruhi mwanamme mmoja aliyekimbizwa hospitali.  Aliongeza kwamba alipiga risasi hizo kutawanya watu waliokuwa wakinywa na mumewe lakini hakumfahamu mwanamke aliyemwua.Mtuhumiwa anasemekana hana rekodi ya uhalifu na alifanya hivyo kutokana na mfadhaiko.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments