2/18/2021

Anayedaiwa Kumuua Baba yake Mzazi Nick Minaj Atiwa Mbaroni...


Mshukiwa wa mauaji ya Baba mzazi wa Nicki Minaj, ametiwa mbaroni mara baada ya kujisalimisha mwenyewe katika kituo cha polisi jana Jumatano.


Mshukiwa huyo Charles Polevich (71) ambaye alimgonga na gari Baba mzazi wa Nicki Minaj na kukimbia, ameshtakiwa kwa kosa la kukimbia eneo la tukio mara baada kwa lengo la kukwepa ushahidi.


Mzee Robert Maraj alifariki dunia punde tu baada ya kufikishwa hospitali. Nicki Minaj bado hajazungumza chochote hadi sasa kuhusiana na kifo cha baba yake mzazi.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger