Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Biden Kuunganisha Familia za Wahamiaji Zilizotenganishwa na Donald Trump

 


Rais Joe Biden amesaini Mikakati Mitatu ya Kiutendaji inayolenga kuziunganisha Familia za Wahamiaji zilizotenganishwa na Sera ya Donald Trump. Vilevile, ameagiza ajenda pana ya uhamiaji ya mtangulizi wake kuhakikiwa


Katika jaribio la kuzuia uhamiaji haramu, Utawala wa Trump ulitenganisha watu wazima wasio na Hati na watoto walipokuwa wakivuka mpaka wa Marekani na #Mexico


Amri ya Rais Biden itapelekea kuundwa Kikosi Kazi ambacho kitajaribu kuwaunganisha Watoto takriban 600-700 ambao bado wapo mbali na Familia zao

DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Utawala wa Trump uliwatenganisha Watoto wasiopungua 5,500 kutoka kwa watu wazima mpakani kati ya mwaka 2017-2018

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments