Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

"Billnass anataka watoto 6" - Nandy

 


The African Princess Nandy amefunguka kusema mpenzi wake Billnass amemwambia anataka kuwa na watoto 6 kutoka kwake ila akamjibu kwamba atamfikiria kwenye suala hilo.

 

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital msanii huyo ameeleza kuwa  "Tutawapokea watoto wowote ambao Mungu atakuwa ametubariki ila Billnass yeye anapenda kuwa na watoto 6, tutamfikiria" amesema Nandy 

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Aidha Nandy amesema pete ambayo aliyovalishwa na mpenzi wake huyo mwaka jana imepotea wakati anafanya shughuli za Kampeni, hivyo tukio hilo litarudiwa tena.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments