Bob Haisa aeleza siri nzito ya Diamond Platnumz na Alikiba walipokutanishwa na Rais Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 
Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Bob Haisa ameeleza siri ambayo watu wengi walikuwa hawaifahamu kuhusu Alikiba na Diamond walivyokutanishwa na Rais Magufuli kwa mara ya kwanza Dodoma.

‘Ilikuwa kama historia kwangu kukaa na Alikiba na Diamond Platnumz wakiwa pamoja kwa muda mrefu halafu wakiwa na sura za furaha’

Bob aliongeza kuwa ‘Nilifanikiwa kuongea na Alikiba akaniuliza vipi umerudi tena mbona ulisema unaacha muziki, nikamjibu mtaani pagumu nimerudi, ila kwa upande wa Diamond sikufanikiwa maana alikuwa na mabaunsa wengi nilihofia kufukuzwa pia huenda amanisahau nianze kujitambulisha tena’

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad