Breaking News: Aliyekuwa Gavana wa Benk Kuu ya Tanzania Profesa Benno Ndulu Afariki Dunia

 


Profesa Benno Ndulu, alikuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2008 hadi 2018. Amefariki dunia Februari 22


Prof. Ndulu pia amefundisha Uchumi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Pia, ana machapisho kuhusu Ukuaji wa Uchumi, Utawala na Biashara

 

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE