Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Breaking News: Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki duniaMakamu wa kwanza wa Zanziba Maalimu seif Sharif Hamad amefariki dunia taarifa iliyotolewa muda huu na Rais wa Zanzibar kuthibitisha kifo hicho, pia Rais ametangaza siku 7 za maombolezo na bendera kupepea nusu mlingoti


Kupitia ukurasa wa Twitter rais wa Jamhuri atoa pole


"Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Natoa pole kwa Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Mwinyi, Familia, Wazanzibari, wanachama wa ACT-Wazalendo na Watanzania wote. Mungu amweke mahali pema peponi,Amina"

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments