AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MUME wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM, Vicky Kamata, Dk. Servacius Likwelile amefariki dunia leo, Februari 20, 2021. Dk. Likwelile amewahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango.
Dk. Likwelile alifunga ndoa na Vicky Kamata, Machi 19, 2016. Taarifa za awali zinaeleza kuwa Likwelile amefariki dunia akiwa nyumbani kwake, Mbweni jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK