DC Temeke Godwin Gondwe Awa MBOGO Kwa Wakandarasi Mwendo Kasi "Siwezi Kukubali Miradi Ihujumiwe Wakati Niko Hapa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


DC Temeke Godwin Gondwe amemtaka Mkandarasi wa Kampuni ya SINOHYDRO inayotengeneza Barabara ya Mwendokasi awamu ya pili kuhakikisha anafanya kazi hiyo kwa thamani halisi ya fedha anayolipwa.


Kauli hii ya @ggondwe imekuja baada ya kukagua na kugundua kasoro nyingi ikiwemo nyufa zilizoanza kwenye barabara hiyo na vituo vya mabasi ikiwa bado havijaanza kutumika.

—— “Siwezi kuona mradi mkubwa ambao Rais Magufuli anatoa pesa nyingi unahujumiwa halafu mimi nipo hapa,siwezi kukubali Temeke"


"Kwa taarifa nilizonazo ninyi Viongozi wa hii kampuni ya SINOHYDRO mnawarubuni Vijana wetu waliopo maabara wakatae matokeo rasmi ya maabara na wakikataa mnawafukuza kazi"- Gondwe


 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Kwa upande wake Meneja mradi wa TANROADS, Injinia Barakael Mmari amemuhakikishia DC kuwa atahakikisha anafuatilia na kumwandikia kwa maandishi mkandarasi huyo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad