Donald Trump Kifua Mbele...Baraza la Seneti Lashindwa Kumtia Hatiani

 


Kwa mara ya pili, Baraza la Seneti limeshindwa kumtia hatiani aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Donald Trump ambapo wajumbe 57 walikubaliana na tuhuma wakati wajumbe 43 wamemuona hana hatia


Baraza hilo lilitakiwa kukubaliana kwa Kura 67 ikiwa ni theluthi mbili ya Wajumbe. Endapo angekutwa na hatia, Seneti ingeweza kupiga kura kumzuia kugombea Uongozi tena

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Trump alikuwa anakabiliwa na mashtaka ya kuchochea ghasia zilizotokea katika jengo la Bunge Januari 06, 2021 baada ya kushindwa katika Uchaguzi Mkuu

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE