Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

EX wa Boateng afariki Dunia wiki moja baada ya kuachana

Mwanamitindo Kasia Lenhardt (25) ambaye alikuwa mpenzi wa mchezaji wa FC Bayen Munich Jerome Boateng amekutwa kafariki katika apartment yake jana mjini Berlin nchini Ujerumani.Kifo cha Kasia kimetokea ikiwa ni wiki moja imepita toka wawili hao waachane lakini kifo chake Polisi bado hawajakihusisha au kumshuku yeyote licha ya wawili hao kuachana kwa ugomvi ambao ulienda hadi katika mitandao ya kijamii.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments